sw_tn/psa/102/005.md

16 lines
526 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nimekuwa kama mwari wa jangwani
Analinganisha upweke wake na ule wa mwari, ambayo mara nyingi huonekana yenyewe badala ya kuwa ndege wengine. "Nimekuwa mpweke na niliyechukiwa kama mwari jangwani"
# mwari
ndege mkubwa anaye kula samaki
# nimekuwa kama bundi katika maanguko
Mwandishi anaendelea kufafanua upweke kwa kujifananisha mwenyewe na bundi katika maanguko yaliyotelekezwa. "nimekuwa mwenyewe kama bundi katika maanguko yaliyo telekezwa"
# bundi
Huyu ni ndege anayekuwa macho wakati wa usiku. "ndege wa usiku"