sw_tn/psa/090/007.md

12 lines
541 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# tumemezwa katika hasira yako
Mungu kuwaangamiza watu katika hasira yake inazungumziwa kana kwamba hasira ya Mungu ni moto unaowaunguza kabisa watu. "Unatuangamiza katika hasira yako"
# na katika gadhabuyako tunaogopa
"na unapokasirika tunaogopa sana"
# Umeweka udhalimu wetumbele zako, dhambi zetu zilizofichwa katika nuru ya uwepo wako
Mungu kuzingatia dhambi za watu inazungumziwa kana kwamba dhambi ni vitu anavyoweza kuweka mbele yake na kuzitazama. "Unaona kila kitu kiovu tunachofanya, hata vitu vya dhambi tunavyofanya sirini"