sw_tn/psa/089/027.md

16 lines
519 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kauli Unganishi:
Yahwe anaendelea kumzungumzia Daudi.
# Pia nitamweka kama mzaliwa wa kwanza
Yahwe kumpa Daudi cheo maalumu na faida zaidi ya watu wengine wote inazungumziwa kana kwamba Daudi atakuwa mzaliwa wa kwanza wa Yahwe.
# kiti cha cha enzi cha kudumu kama anga zilizo juu
Mtu kutoka familia ya Daudi kutawala daima kama mfalme inazungumziwa kana kwamba kiti chake cha enzi kitadumu muda sawa kama anga itakavyodumu.
# kiti cha cha enzi
Hapa "kiti cha enzi" kinawakilisha uwezo wa kutawala kama mfalme.