sw_tn/psa/089/003.md

20 lines
877 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nimefanya agano na niliye mchagua
"Nimempa ahadi Daudi, yule niliye mchagua"
# Nimefanya
Yahwe anazungumza katika 89:3-4.
# Nitawathibitisha uzao wako milele
Yahwe kuwasababisha uzao wa Daudi daima kuwa wafalme inazungumziwa kana kwamba uzao wa Daudi ni jengo ambalo Yahwe atajenga na kuimarisha.
# Nitathibitisha kiti chako cha enzi katika vizazi vyote
Hapa "kiti cha enzi" kinawakilisha uwezo wa kutawala kama mfalme. Mwandishi wa zaburi anazungumzia Mungu kuahidi kuwa mmoja wa uzao wa Daudi atatawala daima kama mfalme kana kwamba Mungu atajenga kiti cha enzi cha Daudi na kukiimarisha. "Nitahakikisha kwamba mmoja wa uzao wako atatawala kama mfalme juu ya kila kizazi cha watu wangu"
# Sela
Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kiebrania, na zingine haziliweki.