sw_tn/psa/089/001.md

32 lines
968 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Maschili
Hii inaweza kumaanisha mtindo wa muziki.
# Ethani
Hili ni jina la mwandishi.
# Mwezrahi
Hili ni jina la kundi la watu. Inaweza kumaanisha mwana au uzao wa Zera.
# matendo ya uaminifu wa agano
"matendo ya uaminifu" au "matendo ya upendo"
# Uaminifu wa agano umethibitishwa milele
Mungu kufanya alichoahidi kufanya inazungumziwa kana kwamba uaminifu wake ni jengo ambalo Mungu amejenga na kuimarisha. "Daima utakuwa mwaminifu kwa sababu y agano lako na sisi"
# ukweli wako umethibitisha mbinguni
Mungu kufanya alichoahidi kufanya inazungumziwa kana kwamba uaminifu wake ni jengo ambalo Mungu amejenga na kuimarisha.
# mbinguni
Maana zinazowezekana ni 1) hii inamaanisha makazi ya Mungu. Hii inamaanisha Mungu hutawala kutoka mbinguni na huwa anafanya kile alichoahidi au 2) hii inamaanisha anga. Hii inamaanisha kuwa wahadi za Mungu hazibadiliki na ni za kudumu kama anga.