sw_tn/psa/088/008.md

12 lines
375 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wanaonifahamu
"wale wanaonijua"
# Umenifanya kitu cha kushangaza kwao
"Umenifanya kitu cha kuchukiza machoni kwao" au "Kwa sababu yako, wanashangaa wanaponiona"
# Nimezungukwa
Hali ya kimwili ya mwandishi inayomfanya kuwa chukizo kwa rafiki zake inazungumziwa kana kwamba alikuwa amefungwa katika nafasi yenye mipaka. "Ni kana kwamba nilikuwa gerezani" au "Nimenaswa"