sw_tn/psa/084/003.md

24 lines
522 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# shorewanda ... mbayuwayu
Hawa ni aina ya ndege.
# amepata nyumba
"amejipatia makazi" au "ametengeneza makazi"
# mbayuwayu kioto
"mbayuwayu amepata kioto" au "mbayuwayu ametengeneza kioto"
# ambapo anaweza kuweka makinda yake
"ambapo anaweza kutaga mayai na kutunza makinda yake"
# wale wanaoishi nyumbani kwako
Maana zinazowezekana ni 1) "wale' inamaanisha makuhani ambao hutumika muda wote hekaluni au 2) "wale" inamaanisha watu kwa ujumla ambao hua wanakuja kuabudu hekaluni.
# kwa uendelevu
"tena na tena"