sw_tn/psa/083/018.md

8 lines
220 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha watajua
"Wafanye wajue"
# ndiye Uliye juu, juu ya dunia yote
Mungu kutawala juu kila kitu duniani inazungumziwa kana kwamba ameinuliwa juu zaidi ya vingine vyote. "ndiye mkuu, na unatawala vitu vyote duniani"