sw_tn/psa/078/070.md

24 lines
625 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendelea kuelezea kile ambacho Mungu alifanya.
# kutoka katika mazizi ya kondoo
"kutoka mahali ambapo alikuwa akifanya kazi katika mazizi ya kondoo"
# mazizi ya kondoo
nafasi zenye kuta ambapo kondoo hutunzwa
# kuwa mchungaji wa Yakobo, watu wake, na israeli, urithi wake
Neno "mchungaji" ni sitiari ya yule anayewaongoza na kuwalinda watu wengine. "kuwaongoza na kuwalinda uzao wa Yakobo, watu wake, na Israeli, urithi wake"
# urithi wake
"wale aliowachagua kuwa wake milele"
# Daudi aliwachunga
Neno "mchungaji" ni sitiari ya kuongoza na kulinda. "Daudi aliwaongoza na kuwalinda"