sw_tn/psa/078/026.md

16 lines
307 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Alisababisha
"Mungu alisababisha"
# Aliwanyeshea nyama kama vumbi
"Alisababisha nyama kudondoka kutoka angani kama mvua, na ilikuwepo nyingi sana hadi ilifunika ardhi kama vumbi"
# nyama
ndege
# kama vumbi... wengi kama mchanga wa baharini
Kulikuwa na ndege zaidi ya ambavyo mtu angeweza kuhesabu.