sw_tn/psa/078/019.md

24 lines
721 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Walizungumza
Waisraeli walizungumza
# Kweli Mungu anaweza kuandaa meza kwa ajili yetu nyikani?
"Hatuamini kuwa kweli Mungu anaweza kuandaa meza kwa ajili yetu nyikani!" au "Mungu, jithibitishe kwetu kuwa kweli unaweza kuandaa meza kwa ajili yetu nyikani!"
# kuandaa meza
"kutupa chakula"
# maji yalitoka nje
maji mengi yalitoka haraka
# Lakini anaweza kutupa mkate pia? Atatoa nyama kwa ajiil ya watu wake?
Watu wanamcheka Mungu kumtukana kwa maswali haya. "Lakini hatuta amini kuwa anaweza kutupa mkate pia au kutoa nyama kwa ajili ya watu wake hadi tumwone akifanya."
# mkate ... nyama
chakula kutoka katika mimea au chakula kutoka katika wanyama. Ingawa hii neno moja linalojumuisha aina zote za chakula.