sw_tn/psa/078/001.md

32 lines
453 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Maschili ya Asafu
"Hii ni maschili ambayo Asafu aliandika."
# Maschili
Hii inaweza kumaanisha mtindo wa muziki.
# mafundisho yangu
"mimi ninapokufunza"
# maneno ya mdomo wangu
Neno "mdomo" ni njia nyingine ya kusema mtu anayezungumza kwao.
# fungua mdomo wangu kwa mafumbo
"fungua mdomo wangu na useme mafumbo"
# kuimba kuhusu
"sema"
# vitu vilivyojificha
mafumbo