sw_tn/psa/073/023.md

12 lines
360 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# daima niko na wewe
Anayezungumza hapa ni Asafu. Anayezungumziwa ni Mungu.
# unanishika mkono wangu wa kuume
hii inaonesha mahusiano ya karibu na Mungu yanayotoa uimara na ulinzi. "unanishika karibu"
# kunipokea katika utukufu
Maana zinazowezekana ni 1) "unaniweka mahali ambapo watu wataniheshimu" au 2) "nipe heshima kwa kunipeleka mahali ambapo upo."