sw_tn/psa/072/006.md

28 lines
882 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Aje chini kama mvua juu ya nyasi zilizofyekwa
Mfalme atakuwa mwema, na atafanya mambo mema kwa watu wake kana kwamba alikuwa mvua ikiifanyia mema nyasi zilizotoka kukatwa."
# Aje
"Natamani kwamba aje"
# kama mvua zinazomwagia
"Aje chini kama mvua zinazomwagia." Mfalme atakuwa mwema, na atafanya mambo mema kwa watu wake kana kwamba alikuwa mvua ikiifanyia mema ardhi.
# mwenye haki
Kivumishi "haki" kinaweza kutafsiriwa kama msemo wa nomino. "mtu mwenye haki"
# katika siku zake
Maana zinazowezekana ni 1) "wakati mfalme anatawala" au 2) "maadamu mtu mwenye haki anaishi" au "maadamu watu wenye haki wanaishi"
# kuwepo amani tele
Mwandishi wa zaburi anazungumza kana kwamba amani ni kitu cha kugusa kama chakula. "Tele" ni wakati kuna kingi kwa kitu. "watu wenye haki waweze kuishi kwa amani ya kweli"
# hadi mwezi usiwepo tena
"maadamu mwezi unang'ara" au "milele"