sw_tn/psa/046/004.md

20 lines
954 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kuna mto, mikondo ambayo huufanya mji wa Mungu kuwa na furaha
"Kuna mto ambao mikondo yake huufanya mji wa Mungu kuwa na furaha." Hii picha ya mto unaotiririka inaashiria amani na mafanikio kwa ajili ya mji wa Mungu.
# huufanya mji wa Mungu kuwa na furaha
Msemo "mji wa Mungu" unamaanisha yerusalemu, ambao mwandishi anauzungumzia kama mtu anayeweza kuwa na furaha. "huwafanya watu wanaoishi Yerusalemu kuwa na furaha"
# sehemu takatifu za hema takatifu za Aliye juu
Msemo huu unaelezea "mji wa Mungu." Wingi wa mahema unaweka mkazo katika wazo kwamba hapa ni mahali patakatifu pa Mungu kuishi. "sehemu takatifu anapoishi Aliye juu"
# katikati yake; hatasogezwa ... atamsaidia.
Panapozungumziwa na "mji wa Mungu."
# hatasogezwa
Hapa neno "kusogezwa " ni sawa na neno linalotafsiriwa "kutikiswa" katika 46:1. Mwandishi anazungumzia uharibifu wa Yerusalemu kwa majeshi kana kwamba tetemekolingeuangamiza. "hakuna kitu kitakachoweza kuuangamiza"