sw_tn/psa/041/004.md

16 lines
768 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# jina lake lipotee
Kama jina la mtu linakufa, inamaanisha kuwa watu wanasahau kuwa aliwahi kuishi. "jina lake litapotea lini" au "watu watasahau lini jina lake"
# Kama adui wangu akija kuniona
Maneno "adui wangu" inamaanisha adui yeyote kwa ujumla, na sio kwa adui bayana yeyoto.
# anasema vitu visivyofaa
Maana zinazowezekana ni 1) "anasema vitu vya kipuuzi" au 2) adui zake wanasema vitu kumfanya afikiri kuwa ni rafiki zake wakati sio. "anasema vitu vya udanganyifu" au "wanajifanya kumjali"
# moyo wake unajikusanyia wenyewe maafa yangu
Adui zake wanajaribu kujifunza vitu vyote vibaya kumhusu. Hapa neno "moyo" linamaanisha mtu mzima. Matukio mabaya yanazungumziwa kana kwamba ni vitu vinavyoweza kukusanywa. "anajaribu kujifunza kuhusu maafa yangu yote"