sw_tn/psa/039/004.md

20 lines
729 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwisho wa maisha yangu ... kiasi cha siku zangu
Misemo hii inamaana moja.
# Nioneshe jinsi nilivyo wa kupita
"Nioneshe jinsi maisha yangu yalivyo mafupi" au "Nioneshe nitakavyokufa mapema"
# upana wa mkono wangu tu
Mwandishi anazungumza kana kwamba yanaweza kupimwa na upana wa mkono wake. "muda mdogo sana"
# maisha yangu ni kama bure mbele yako
Tashbihi hii inaeleza kuwa urefu wa maisha ya mwandishi ni mafupi sana hadi hayapo. Hii ni kukuza kwa neno kuonesha jinsi yalivyo mafupi. "urefu wa maisha ni muda kidogo sana"
# Hakika kila mtu ni pumzi moja
Ufupi wa maisha unazungumziwa kana kwamba ulikuwa ni sawa na muda unaochukua mtu kupumua mara moja. "Muda ambao wanadamu huishi ni mfupi kama pumzi moja ya mtu"