sw_tn/psa/036/005.md

16 lines
536 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# unafika mbinguni
Ukuu wa uaminifu wa Mungu wa agano unazungmziwa kana kwamba uko juu sana. "uko juu kama mbingu" au "ni mkuu sana"
# unafika kwenye mawingu
Ukuu wa uaminifu wa Mungu unazungumziwa kana kwamba uko juu sana. "uko juu kama mawingu" au "ni mkuu sana"
# kama milima ya Mungu ... kama kina kirefu
Misemo hii inaeleza ukuu wa haki ya Mungu na hukumu zake kana kwambazilikuwa juu zana na zenye kina kirefu. "juu kama mlima ya juu zaidi ... mrefu kama bahari lenye kina kirefu zaidi"
# unatunza
"unasaidia" au "unaokoa"