sw_tn/psa/034/007.md

16 lines
578 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# huzungusha kambi
Malaika wa Yahwe anazungumziwa kana kwamba alikuw ani jeshi linalozungusha kambi kwa mtu ili kuwalinda. "hulinda"
# Onjeni mwone Yahwe yu mwema
Wema wa Yahwe unazungumziwa kana kwamba ni kitu kinachoweza kuonjwa na kuonwa. "Jaribuni na mwone kuwa Yahwe ni mwema"
# anaye mkimbilia
Yahwe anazungumziwa kana kwamba ni sehemu ambayo watu wanaweza kujificha kwa ajili ya ulinzi kutoka kwa adui zao. "mwamini kuwalinda"
# Hakuna upungufu kwa wale wanaomcha yeye
Hii inaweza kuelezwa katika hali chanya. "Wale wanaomcha daima watakuwa na kile wanachohitaji"