sw_tn/psa/026/011.md

20 lines
495 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Lakini kwangu
Msemo huu unaonesha kuwa mwandishi anabadilisha kutoka kuwazungumzia watu waovu na kujizungumzia mwenyewe.
# nitatembea kwa uadilifu
"Kutembea" ni sitiari ya tabia. "Nitaenenda kwa uadilifu"
# Mguu wangu unasimama
Hapa "mguu" unawakilisha mtu mzima. "Nina simama"
# ardhi tambarare
Maana zinazowezekana ni kwamba "ardhi tambarare" inawakilisha 1) sehemu salama au 2) tabia iliyo sawa
# katika makusanyiko nitambariki Yahwe
"nitakapowakusanya watu wa Israeli nitakusifu"