sw_tn/psa/023/003.md

16 lines
576 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Zaburi hii inaendelea kueleza jinsi Mungu anavyotujali kama kondoo anavyowajali kondoo wake.
# Hurudisha maisha yangu
Hii inamaanisha Mungu anamfanya mtu aliyenyonge na mchovu kuwa na nguvu na kupumzika tena.
# huniongoza katika njia zilizonyooka
Kumwonyesha mtu jinsi ya kuishi katika njia inayo mpendeza Mungu inazungumziwa kana kwamba ni mchungaji anaonesha kondoo njia sahihi ya kuchukua. "Ananionesha jinsi ya kuishi sawa"
# kwa ajili ya jina lake
Msemo "jina lake" hapa unamaanisha sifa yake. "kwa ajili ya jina lake" au "ili watu wamheshimu"