sw_tn/psa/021/013.md

8 lines
347 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Utukuzwe, Yahwe, katika nguvu yako
Maana zinazowezekana ni 1) "Yahwe, tuoneshe kuwa una nguvu sana" (UDB) au 2) "Yahwe, kwa sababu una nguvu, tutakutukuza"
# tutaimba na kusifu uwezo wako
Maneno "tutaimba" na "kusifu" yana maana ya kukaribiana. Hapa neno "uwezo" linamaanisha Mungu na uwezo wake. "kwa kuimba tutakusifu kwa sababu una uwezo"