sw_tn/psa/019/009.md

16 lines
419 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# pamoja ni sawa
"sahihi kabisa"
# Zina thamani zaidi ya dhahabu ... nitamu zaidi ya asali
Amri za Yahwe zinazungumziwa kana kwamba zinaweza kununuliwa na kuonjwa. "Kama unaweza kuzinunua, zitakuwa na dhamani zaidi ya dhahabu ... kama unaweza kuzionja, zitakuwa tamu zaidi ya asali"
# hata zaidi ya dhahabu safi
"hata thamani zaidi ya dhahabu nyingi safi"
# dhahabu safi
"dhahabu halisi" au "dhahabu ya gharama"