sw_tn/psa/013/003.md

20 lines
388 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitazame na unijibu
"Nizingatie na unisikilize"
# Nipe mwanga machoni mwangu
Hii ni njia ya kuomba nguvu. "Nifanye kuwa na nguvu tena"
# au nitalala kifoni
"Kulala kifoni" inamaanisha kufa.
# Usimruhusu adui yangu aseme ... ili adui yangu asiseme
"Usimruhusu adui yangu aseme kunihusu ... ili adui yangu asiseme kunihusu"
# ninapoletwa chini
"ninapoanguka" au "wanaponishinda"