sw_tn/psa/011/003.md

12 lines
474 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maana misingi imeharibika, mwenye haki atafanya nini?
Hapa "misingi" inaweza kumaanisha sheria na utaratibu. Swali hili la balagha linaulizwa kuongeza msisitizo. Linaweza kutafsiririwa kama kauli. "Watu wenye haki hawawezi kufanya lolote pale watu waovu wasipoadhibiwa wanapokeuka sheria!"
# Macho yake yanatazama, macho yake yanachunguza watoto wa binadamu
Yahwe anajua kila kitu kinachotokea. "Anachunguza yote wanayofanya wanadamu"
# watoto wa binadamu
"wanadamu"