sw_tn/psa/009/011.md

16 lines
421 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# anaye tawala Sayuni
"anayeishi Yerusalemu"
# waambie mataifa
Hapa "mataifa" yamaanisha watu wote.
# Kwa kuwa Mungu anayelipiza kisasi cha damu iliyo mwagika hukumbuka
Kile anachokumbuka kinaweza kuwekwa wazi. "Kwa kuwa Mungu anaye lipiza kisasi umwagaji damu anawakumbuka wale waliouliwa" au "Kwa kuwa Mungu hukumbuka anawakumbuka wale waliouliwa na kuwaadhibu wauwaji"
# hasahau kilio chao
"Anajali kilio chao"