sw_tn/psa/009/003.md

8 lines
338 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# geuka
"kurudi" au "kukimbia kwa uoga"
# umeketi kwenye kiti cha enzi, hakimu mwenye haki
Wafalme walikuwa na mamlaka ya kuhukumu watu, na waliketi katika kiti cha enzi walipokuwa wakihukumu. Daudi anazungumza kana kwamba Mungu alikuwa mfalme wa kidunia. "unahukumu kama mfalme anayeketi katika kiti chake cha enzi, na u mwenye haki"