sw_tn/psa/007/005.md

16 lines
358 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# maisha yangu
Maisha yanaashiria mtu. "mimi"
# kuyapita
"kufikia" au "kuipata." Hii inamaanisha kumshika. "kunikamata"
# acha akanyage mwili wangu ulio hai ardhini
Hapa "mwili wangu ulio hai" unamaanisha mwandishi. "waruhusu adui zangu kuniangamiza"
# nimelala bila heshima kwenye vumbi
Hii inamaana kulala akiwa amekufa na bila kuzikwa katika aibu.