sw_tn/psa/007/001.md

24 lines
796 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Utunzi wa kimuziki wa Daudi
"Huu ni wimbo ambao Daudi aliaandika"
# kuhusu maneno ya Kushi Mbenyamini
Usemi "maneno ya Kushi" yanamaanisha alichosema. "kuhusu Kushi, mwanamme kutoka kabila la Benyamini alichosema"
# wanaokimbia kwako
Kwenda kwa Yahwe kwa ajili ya ulinzi kunazungumziwa kama kumkimbilia. "kwenda kwako kwa ulinzi!"
# watanirarua vipande vipande kama simba
Daudi anawazungumzia adui zake kumshambulia kana kwamba wanamrarua mwili wake na kumwacha vipande vipande kama simba afanyavyo. "wataniua kikatili kama simba anavyorarua mwili wa mawindo yake na kuugawa vipande vipande" au "wataniua kikatili"
# bila kuwa na yeyote mwingine kuniletea mahali salama
"na hakuna mwingine atakayeweza kuniokoa"