sw_tn/psa/004/006.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nani atatuonesha chochote kizuri?
Swali hili linatumika kwa mojawapo kati ya kuuliza kwa ajili ya kitu au kuonesha matamanio kuhusu jambo ambalo bado halijatokea. "Tafadhali tuonesha jambo zuri" au "Tunatamani mtu atuoneshe jambo zuri"
# Nani atatuonesha chochote kizuri?
Kuonesha kitu kizuri inaweza kumaanisha kuleta vitu vizuri au kusema kwamba vitu vizuri vimetokea. "Nani ataleta vitu vizuri kwetu?" au "Nani atasema kwamba kitu chochote kizuri kimetokea?"
# inua mwanga wa uso wako kwetu
Mwandishi anamzungumzia Yahwe kuwatendea mazuri kana kwamba uso wa Yahwe ulimulika mwanga kwao. "kutenda mema kwetu"
# Umeupa moyo wangu furaha zaidi
Moyo unaashiria mtu. "Umenipa furaha zaidi"
# Umeupa moyo wangu furaha zaidi kuliko wengine walivyo
Furaha inazungumziwa kama kitu kinachoweza kupewa. "Umenifanya kuwa mwenye furaha zaidi kuliko wengine"
# nafaka zao na divai yao mpya inapozidi
"Divai mpya" inaweza kumaanisha mizabibu. "wanapovuna mavuno mengi ya nafaka na mizabibu"
# Ni kwa amani nitalala chini
Amani inazungumziwa kana kwamba ni sehemu. "Nitakuwa na amani ninapolala chini" au "Sitaogopa hatari ninapolala"
# unanifanya salama
"unanifanya salama