sw_tn/pro/31/30.md

20 lines
405 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# madaha ni udanganyifu
"mwanamke mwenye huruma anaweza kuwadanganya watu" au "mwanamke mwenye tabia njema anaweza kuwa mwovu"
# uzuri ni ubatili
"mwanamke ambaye ni mzuri sasa hawezi kuwa mzuri daima"
# atasifiwa
"watu watamsifu"
# matunda ya mikono yake
"pesa anazopata" angalia 31:13 na 31:16
# kazi zake na zimsifu katika malango
"watu wakuu wa mji na wamsifu kwa kazi zake nzuri alizofanya"