sw_tn/pro/28/11.md

28 lines
412 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuwa mwenye busara machoni pake mwenyewe
"kuwa mwenye busara katika mawazo yake mwenyewe" au "kijifikira ni mwenye busara"
# mwenye ufahamu
"anayefahamu"
# atamchunguza
"ataona asili yake ya kweli"
# kunapokuwa na ushindi kwa watu wenye haki
"watu wenye haki wanapofanikiwa"
# wainukapo waovu
"wakati waovu wanapopata mamlaka"
# waovu
"watu waovu"
# watu hujificha wenyewe
"watu huende kujificha"