sw_tn/pro/28/09.md

40 lines
645 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama yeye
"kama mtu"
# atageuzia mbali sikio lake kuisikia sheria
"atageuzia mbali sikio lake kusikia na kutii sheria"
# hata maombi yake ni chukizo
"Mungu anachukia hata maombi yake"
# chukizo
angalia 3:31
# Yeyote mwenye kumpotosha mwenye haki katika njia mbaya
"Yeyote anayesababisha mwenye haki kwenda katika mwelekeo mbaya"
# Yeyote mwenye kumpotosha...njia mbaya ataanguka
"kama mtu yeyote atampotosha...njia mbaya ataanguka"
# mwenye haki
"watu wanyoofu"
# ataanguka kwenye shimo lake mwenyewe
"ataanguka kwenye mtego ambao ameuchimba"
# wakamilifu
"watu wakamilifu"
# watapata urithi mzuri
"watarithi kitu kizuri"