sw_tn/pro/27/09.md

20 lines
332 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Marashi
mafuta ya kutamanisha au malihamu
# huufanya moyo ufurahi
"humfanya mtu kujisikia furaha"
# utamu wa rafiki hutoka katika ukweli wa shauri lake
"tunamthamini rafiki kwa ushauri wake"
# nyumba ya ndugu yako
ndugu hapa ni mmoja kutoka katika kabila moja, ukoo, au kundi la watu.
# msiba
taabu kubwa au bahari mbaya