sw_tn/pro/26/17.md

12 lines
455 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama mtu ashikaye masikio ya mbwa, ndivyo alivyo mpitaji ambaye hupata hasira kwenye ugomvi ambao si wake
"mpitaji ambaye hupata hasira kwenye ugomvi wa watu wengine ni kama mtu ambaye hushikilia masikio ya mbwa"
# Kama mtu ashikaye masikio ya mbwa
"kama mtu ayemkasirikia mbwa na kumshika masikia yake"
# mpitaji ambaye hupata hasira kwenye ugomvi ambao si wake
mpitaji ataanza kubishana na watu waliokuwa wakipigana atawakasirisha na watamuumiza