sw_tn/pro/25/04.md

8 lines
270 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# takataka
malighafi kwenye chuma ambayo watu ambayo watu huwa hawahitaji na huiondoa kwa kukichoma chuma.
# kiti chake cha enzi kitathibitishwa kwa kutenda
"mfalme atathibitisha kiti chake cha enzi kwakutenda" au "atakuwa na mamlaka ya kutawala kwasababu anatenda"