sw_tn/pro/24/03.md

20 lines
464 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# kwa hekima nyumba hujengwa
"watu wanahitaji kuwa busara kama wanajenga nyumba nzuri"
# kwa ufahamu huimarishwa
"watu wanahitaji kufahamu wema na ubaya kama wanataka kuimarisha nyumba"
# kuimarisha
"nyumba" inawakilisha familia... familia ambayo huishi kwa amani
# Kwa maarifa vyumba hujazwa
"watu wanahitaji kufahamu vitu vya thamani na vizuri kama wanataka kujaza vyumba vyao"