sw_tn/pro/23/29.md

24 lines
785 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# Ni nani mwenye ole? Ni nani mwenye huzuni? Ni nani mwenye mapigano? Ni nani mwenye malalamiko? Ni nani mwenye majeraha bila sababu? Ni nani mwenye macho mekundu?
"Sikilizeni nataka kuwaambia mtu wa ole, huzuni, mapigano, malalamiko, mjeraha bila sababu, na macho mekundu."
# macho mekundu
"macho kuwa na rangi nyekundu kama ya damu"
# Wale ambao hukawia sana kwenye mvinyo, wale ambao hujaribu kuchanganya mvinyo
Hili ni jibu la maswali ya mstari wa 29. Kuelezea watu ambao hunywa sana mvinyo.
# hukawia sana kwenye mvinyo
hutumia muda mwingi kunywa mvinyo na hunywa mvinyo mwingi
# kuchanganya mvinyo
1) kuchanganya aina mbalimbali za mvinyo au 2) vileo vingine ambavyo ni vikali kuliko mvinyo