sw_tn/pro/20/13.md

12 lines
274 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# huwa maskini
"anakuwa maskini"
# fumbua macho yako
"uwe tayari" au "uwe macho"
# "Mbaya! Mbaya!" anasema mnunuzi, lakini akiondoka hujisifu
"Mbaya! Mbaya!" anasema mnunuzi kumkosoa muuzaji, lakini baada ya kununua anakwenda zake akijisifu kuhusu bei ndogo aliyolipa"