sw_tn/pro/15/13.md

16 lines
308 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# moyo wenye furaha huufanya uso kuwa mchangamfu
"mtu anapokuwa na furaha, uso wake ni mchangamfu"
# huvunja moyo
" humfanya mtu akate tamaa"
# moyo wa mwenye ufahamu
"mtu mwenye ufahamu"
# kinywa cha wapumbavu hula upumbavu
"watu wapumbavu hutamani upumbavu kana kwamba ni chakula ambacho wangekula"