sw_tn/pro/14/28.md

12 lines
180 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# idadi kubwa ya watu wake
"idadi ya watu anaowatawala"
# ni uharibifu wa mfalme
"mfalme hana kitu na ufalme wake utaanguka"
# mwepesi wa hasira
"mtu ambaye hukasirka haraka"