sw_tn/pro/08/12.md

24 lines
427 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mimi, Hekima, huishi kwa Busara
Busara imeongelewa hapa kama mtu
# Busara
"kuamua vema"
# Mimi humiliki maarifa na busara
"Mimi ni mwenye maarifa na busara" au " Ninajua vitu vingi, na mimi ni mwangalifu"
# busara
kuwa mwangalifu kuhusu kile unachosema na kufanya; kuwa na tahadhari usisababishe maumivu au uharibifu kwa wengine
# kauli za udanganyifu
"maongezi mabaya"
# udanganyifu
iliyogeuka kutoka kwenye haki