sw_tn/pro/03/25.md

12 lines
233 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# uharibidu wa waovu, wakati unapokuja
"Wakati waovu wanaposababisha uharibifu"
# Yahwe atakuwa upande wako
Yahwe atakusaidia na kukutetea
# ataulinda mguu wako usinaswe katika mtego
atakulinda na wale ambao wanataka kukudhuru