sw_tn/pro/03/05.md

16 lines
228 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa moyo wako wote
" mambo yako yote"
# usitegemee ufahamu wako mwenyewe
usiweke tumaini katika ufahamu wako wenyewe
# katika njia zako zote
"katika kila jambo ulifanyalo"
# yeye atazinyosha njia zako
atakupa mafanikia