sw_tn/num/34/13.md

12 lines
468 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa makabila tisa na nusu
Hii inamaanisha kuwsa yale makabila yanayobaki ambayo tataishi ule upande wa magharibi wa Mto Yorodani katika nchi ya Kanaani. Tle makabila ya Reubeni na Gadi na nusu ya Manase yamepata urithi wao upande wa Mashariki wa Mto Yorodani.
# kufuata jinsi walivyopewa urithi kwa jamaa ya kabila yao
"Kwa kufuata jinsi BWANA alivyoigawa mali kwa makabila ya mababu
# Yale makabila mawili na nusu
"Kabila la Reubeni la Gdi, na nusu ya Manase"