sw_tn/num/21/08.md

16 lines
244 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tengeneza nyoka
"Tengeneza mfano wa nyoka"
# kila anayeumwa
"kila amabaye ataumwa na nyoka
# nyoka wa shaba
"nyoka anayetokana na shaba"
# na kumwanagalia huyo nyoka atapona
kiwakilishi "a" kinmwakilisha mtu yeyote aliyeumwa na nyoka.