sw_tn/num/14/06.md

16 lines
328 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nuni .. Yefune
Haya ni majina ya wanaume
# amabo walikuwa miongoni mwa wale waliokuwa wametumwa
Ambaowalikuwa miongonimwa wale ambao Musa alikuwa amewatuma
# wakachana mavazi yao
kuchana mavazi ilikuwa ishara ya kuonyesha kuwa mtu huyo ametabika sana na anaomboleza
# Ni nchi inayotiririka maziwa na asali
Tazama 13:27