sw_tn/num/12/11.md

8 lines
271 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# usituadhibu kwa sababu ya uovu wetu huu
Hii inamaanisha usituadhibu kwa sababu ya dhambi zetu
# Tafadhali usimwache akawa kama mtoto mchanga aliyekufa amabye nusu ya nyama yake imeoza
"Tafadhali usimwache akawa kama mtoto mchanga ambaye nusu ya nyamya yake imeoza"