sw_tn/num/05/24.md

16 lines
764 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Mpangilio wa matukio ulio kwenye hii mistari unachangaya sana, umeandikwa kwa mfumo huu ili kuonesha jinsi yale maji yawezavyo kuleta laana. Inaonekana kuwa mwanamke anapoyanywa yale maji; kuhani naye anateketeza ile sadaka, kisha yule mwanamke anayanywa yale maji tena. Anayanywa yale mara moja.
# Naye kuhani atamwelekeza yule mwanamke kunywa yale maji ... yale maji yaletayo laana yataingia na kuwa machungu
Inaweza kusaidia kama mpangilio utatengenezwa upya kwa kuuweka mstari wa 24 unaoelezea habari ya mwanamke kunywa yale maji, baada ya mstari wa 26.
# sadaka ya kuwakilisha
kiasi cha konzi ya unga kinawakilisha sadaka yote ya unga. Na maana yake halisi ni kwamba sadaka yote ni ya BWANA.
# sadaka ya unga ya wivu
Tazama 5:15