sw_tn/num/03/46.md

28 lines
863 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# za wokovu kwa
Nomino ya "wokovu" lnaweza kutafsiriwa kwa tendo la "okoa." "Kuokoa"
# wazaliwa wa kwanza wa Israeli
"wana wa kwanza wa Israeli"
# shekeli tano
shekeli moja sawa na gramu 11. Kwa hiyoni sawa na gramu 55 za fedha
# wanaozidi idadi ya Waisraeli
Hii inamaanisha kuwa kulikuwa na wazaliwa wa kwanza wa kiume zaidi ya 273 miongoni mwa makabila mengine ya Israeli zaidi ya idadi yao ya Walawi wa kiume.
# Utazitumia hizo shekeli kwa kipimo cha mahali patakatifu
Hii inamaanisha kuwa shekeli itapimwa kwa kwa kipimo sawa na kile cha shekeli za mahali patakatifu. "Utatumia kipimo cha shekeli za mahali patakatifu"
# gera ishirini
"gera 20."Gera ni kipimo kilicho sawa na kilogramu 0.57
# kwa kipimo cha wokovu ulicholipa.
Hapa neno "bei" linamaanisha shekeli ambazo Musa alikuwa amekusanya, "zile pesa ambazo umekusanya kwa ajili ya wokovu"